Kama Nisingeokolewa na Mungu
Kama mimi nisingeokolewa na Mungu,
ningekuwa bado nazurura ulimwenguni humu,
nikipambana kwa bidii na maumivu katika
dhambi; kila siku huwa ya taabu isiyo na tarajio.
Kama nisingeokolewa na Mungu, bado
ningekuwa nimepondwa chini ya miguu ya shetani,
kama nimenaswa katika dhambi na starehe
zake, bila kujua maisha yangu yangekuwaje.
Kama nisingeokolewa na Mungu, nisingekuwa
na baraka zangu leo,
wala kujua kwa nini sisi tuendelee kuishi
ama maana ya maisha yetu.
Kama nisingeokolewa na Mungu, bado ningekuwa
nimechanganywa kuhusu imani yangu,
nikiwa ningali katika nafasi tupu
nikisukuma siku, bila kujua imani yangu iwe kwa nani.
Hatimaye nimeelewa mikono ya upendo ya
Mungu imeshika yangu safarini.
Sitaweza kwenda na kupotea njia kwa sababu
niko kwa mwendo huu mwangavu kukaa.
Hatimaye nimeelewa dhamira ya Mungu, yenye
ari kwa mtu.
Fikra danganyifu kuondolewa kabisa, nitampa
Mungu mwili wangu na roho yangu.
Kama nisingeokolewa na Mungu, nisingekuwa
na baraka zangu hapa leo,
wala kujua kwa nini sisi tuendelee kuishi
ama maana ya maisha yetu.
Kama nisingeokolewa na Mungu, bado
ningekuwa nimechanganywa kuhusu imani yangu,
nikiwa ningali katika nafasi tupu
nikisukuma siku, bila kujua imani yangu iwe kwa nani.
Hatimaye nimeelewa mkono wa upendo wa Mungu
umeushika wangu safarini.
Sitaweza kwenda na kupotea njia kwa sababu
niko kwa mwendo huu mwangavu kukaa.
Hatimaye nimeelewa dhamira ya Mungu, yenye
ari kwa mtu.
Fikra danganyifu kuondolewa kabisa, nitampa
Mungu mwili wangu na roho yangu.
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba
Nyimbo Mpya
Umeme wa Mashariki, Kanisa la MwenyeziMungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa
pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao
wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa
na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe
na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni
ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma
maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video
ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana
katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa
kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida,
na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza
hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa
ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi
anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.
YouTube:
https://www.youtube.com/c/KanisalaMwenyeziMungu
Facebook:
https://www.facebook.com/kingdomsalvationsw/
Twitter: https://twitter.com/CAGchurchsw
Instagram:
https://www.instagram.com/thechurchofalmightygodsw/
Blogger:
http://nikanisalamwenyezimungu.blogspot.com/
Wordpress: https://nikanisalamwenyezimungu.wordpress.com/
Google+:
https://plus.google.com/112057435842882002719
Barua Pepe: contact.sw@kingdomsalvation.org
Wasiliana Nasi: +254-700-427-192
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni