Tokeo Lililofikiwa kwa Kumjua Mungu
Mpaka siku moja,
utahisi kuwa Muumba
sio fumbo tena,
kwamba Muumba hajawahi kufichwa kutoka
kwako,
kwamba Muumba
hajawahi kuificha sura Yake kutoka kwako,
kwamba Muumba hayuko mbali na wewe hata
kidogo,
kwamba Muumba siye Yule unayemtamania
katika mawazo yako
lakini kwamba huwezi kumfikia na hisia
zako,
kwamba Anasimama kwa kweli kama mlinzi
kulia na kushoto kwako,
Akiruzuku maisha yako, na kudhibiti
majaliwa yako, kudhibiti majaliwa yako.
Hayuko katika upeo wa mbali, wala
hajajificha juu mawinguni.
Yuko kando yako, akiwa na mamlaka juu ya
kila kitu chako,
Mungu kama huyo
Anakukubali umpende kutoka moyoni,
umshikilie, umweke karibu, umtamani,
uhofu kumpoteza,
na kutotaka kumkataa tena, kutomtii tena,
ama kumwepuka tena ama kumweka mbali.
Kile unachotaka ni kumjali tu, kumtii,
kulipia kila kitu Anachokupa, na kujisalimisha
katika himaya Yake.
Hukatai tena kuongozwa,
kupewa, kuangaliwa, na kuwekwa na Yeye,
hukatai tena Anachoamuru na kukitawaza
kwako,
Anachoamuru na kukitawaza kwako.
Unachotaka tu ni kumfuata, kutembea kando
Yake katika kushoto ama kulia Kwake,
ni kumfuata, kutembea kando Yake katika
kushoto ama kulia Kwake,
kile utakacho ni kumkubali kama Bwana wako
mmoja na wa pekee,
kile utakacho ni kumkubali kama Bwana wako
mmoja na wa pekee,
Mungu wako mmoja na wa pekee.
Hukatai tena
Hukatai tena
Hukatai tena
Hukatai tena
Hukatai tena kuongozwa, kupewa, kuangaliwa,
na kuwekwa na Yeye,
katai tena
katai tena
katai tena
katai tena
Anachoamuru na kukitawaza kwako,
Anachoamuru na kukitawaza kwako.
Unachotaka tu ni kumfuata, kutembea kando
Yake katika kushoto ama kulia Kwake,
kumfuata, kutembea kando Yake katika
kushoto ama kulia Kwake,
kile utakacho ni kumkubali kama Bwana wako
mmoja na wa pekee,
kile utakacho ni kumkubali kama Bwana wako
mmoja na wa pekee, Mungu wako mmoja na wa pekee.
Unachotaka tu ni kumfuata, kutembea kando
Yake katika kushoto ama kulia Kwake,
ni kumfuata, kutembea kando Yake katika
kushoto ama kulia Kwake,
kile utakacho ni kumkubali kama Bwana wako
mmoja na wa pekee,
kama Bwana wako mmoja na wa pekee, Mungu
wako mmoja na wa pekee.
Mungu wako mmoja na wa pekee.
Kutoka kwa Kuendeleza kwa Neno Laonekana
katika Mwili
Umeme wa Mashariki, Kanisa la MwenyeziMungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa
pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao
wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa
na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe
na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni
ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma
maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video
ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika
wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na
hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa
minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na
kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake.
Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au
mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.
YouTube:
https://www.youtube.com/c/KanisalaMwenyeziMungu
Facebook:
https://www.facebook.com/kingdomsalvationsw/
Twitter: https://twitter.com/CAGchurchsw
Instagram:
https://www.instagram.com/thechurchofalmightygodsw/
Blogger:
http://nikanisalamwenyezimungu.blogspot.com/
Wordpress:
https://nikanisalamwenyezimungu.wordpress.com/
Google+:
https://plus.google.com/112057435842882002719
Barua Pepe: contact.sw@kingdomsalvation.org
Wasiliana Nasi: +254-700-427-192
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni