Mwabudu Mungu kwa Roho na Ukweli | “Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa” (Video za Kikristo)
Sauti
ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa
I
Nilitaka
kulia lakini hakuna mahali palihisi sawa.
Nilitaka
kuimba lakini hakuna wimbo ulipatikana.
Nilitaka
kuonyesha upendo wa kiumbe aliyeumbwa.
Nikitafuta
juu na chini, lakini hakuna maneno yangeweza kusema,
yangeweza
kusema jinsi hasa ninavyohisi.
Mungu
wa vitendo na wa kweli, upendo ndani ya moyo wangu.
II
Mwanadamu
alitoka mavumbini, na Mungu akampa uhai.
Shetani
alishuka chini kuwapotosha wanadamu.
Ubinadamu
na mantiki yao yamepotea.
Kizazi
baada ya kizazi, kimeanguka tangu siku hiyo.
Lakini
Wewe ni … Mungu wa vitendo na wa kweli, upendo ndani ya moyo wangu.
Mimi
ni vumbi lakini ninaweza kuona uso Wako. Ninawezaje kukosa kuabudu?
Mungu
wa vitendo na wa kweli, upendo ndani ya moyo wangu.
Mimi
ni vumbi lakini ninaweza kuona uso Wako. Ninawezaje kukosa kukuabudu?
III
Mungu
alimuumba mwanadamu na anampenda sana, kiasi kwamba Alipata mwili
tena,
Alistahimili
mazuri na mabaya, taabu na huzuni,
Akituokoa
na kutuleta mahali pazuri.
Tutakushukuru
Wewe daima.
Mungu
wa vitendo na wa kweli, upendo ndani ya moyo wangu.
Mpotovu,
lakini Wewe umeniokoa! Ninawezaje kukosa kuabudu?
Mungu
wa vitendo na wa kweli, upendo ndani ya moyo wangu.
Mpotovu,
lakini Wewe umeniokoa! Ninawezaje kukosa kukuabudu?
Ninawezaje
kukosa kukuabudu? Ninawezaje kukosa kukuabudu?
kutoka
kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya
Video
Yaliyopendekezwa:
Muziki
wa Akapela "Tokeo Lililofikiwa kwa Kumjua Mungu" (Video
Rasmi ya Muziki)
https://youtu.be/XF2M54rWRYA
Umemewa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya
kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu,
Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali
kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na
kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu
mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika
halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa
Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu,
utaona kuwa Mungu ameonekana.
Kauli
Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa
faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Video hii isisambazwe kwa mtu
mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu
atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza,
tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi
Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza
kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni