Mungu Ameleta Utukufu Wake Mashariki
Mungu aliipa Israeli utukufu Wake kisha
Akauhamisha mbali na pale,
na kuwaleta Waisraeli na kuwaleta watu wote
Mashariki.
Mungu amewaelekeza wote kwenye mwanga
ili waweze kuungana tena na kuwa pamoja na
mwanga,
wasilazimike kuutafuta tena, kuutafuta
mwanga.
Mungu atawaacha wote wanaotafuta kuuona
mwanga tena
na utukufu Aliokuwa nao katika Israeli,
kuona kwamba Mungu tayari ameshuka chini
juu ya wingu jeupe miongoni mwa watu,
na kuona mawingu mengi meupe, na kuona
vishada vya matunda,
kumwona Yehova Mungu wa Israeli, Mungu wa
Israeli,
kumwona Mkuu wa Wayahudi, kumwona Masihi
Aliyengojewa,
na kuonekana kamili kwa Yeye aliyeteswa na
wafalme katika enzi zote.
Mungu atafanya kazi ya ulimwengu mzima na
kufanya kazi kubwa,
akifichua utukufu Wake wote na matendo Yake
yote kwa mwanadamu
katika siku za mwisho.
Mungu ataonyesha uso Wake uliojaa utukufu
kwa wale ambao wamemngoja Yeye kwa miaka
mingi,
kwa wale ambao wametamani kumuona Yeye
akija juu ya wingu jeupe,
kwa Israeli ambayo imemngoja Aonekane kwa
mara nyingine tena,
kwa watu wote wanaomtesa Mungu.
Ili wote wajue kwamba Mungu kwa muda mrefu
uliopita Ameuchukua utukufu Wake
na kuuleta katika Mashariki.
Hauko katika Uyahudi, kwa maana siku za
mwisho tayari zimewadia!
kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili
Umeme wa Mashariki, Kanisa la MwenyeziMungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa
pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao
wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa
na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe
na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni
ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma
maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video
ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika
wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na
hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa
minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na
kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake.
Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au
mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.
YouTube:
https://www.youtube.com/c/KanisalaMwenyeziMungu
Facebook: https://www.facebook.com/kingdomsalvationsw/
Twitter: https://twitter.com/CAGchurchsw
Instagram:
https://www.instagram.com/thechurchofalmightygodsw/
Blogger:
http://nikanisalamwenyezimungu.blogspot.com/
Wordpress:
https://nikanisalamwenyezimungu.wordpress.com/
Google+: https://plus.google.com/112057435842882002719
Barua Pepe: contact.sw@kingdomsalvation.org
Wasiliana Nasi: +254-700-427-192
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni